Kidato cha Kwanza hadi cha Nne

Kuanzishwa na Mahali Ilipo
Shule ya sekondari Maghabe inatoa elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne mwaka 2006. Shule ipo umbali wa kilomita 05 kutoka stendi ya Mbalizi na kilomita 17 kutoka stendi kuu ya mabasi Mbeya mjini.
Masomo Yanayofundihwa
Masomo yanafundishwa kwa kidato cha kwanza hadi cha nne ni:
i.
Hisabati
ii.
Fizikia
iii.
Kemia
iv.
Elimu ya viumbe (Biolojia)
v.
Jiografia
vi.
Historia
vii.
Uraia
viii.
Kiingereza
ix.
Kiswahili
x.
Elimu ya biblia
xi.
Biashara
xii.
Uhasibu
Vidato vya Wanafunzi
Wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne wanasajiliwa na shule ya Maghabe kwa kujiunga kidato cha kwanza au kwa kuhamia kutoka shule nyingine, kwa baadhi ya madarasa kulingana na hali halisi ya wakati husika.
 
"The fear of the Lord is the source of Knowledge"
"Kumcha Bwana ni Chanzo cha Maarifa"
Maghabe Sekondari




© 2022 Shule ya Sekondari Maghabe, Mbeya. Haki zote zimehifadhiwa.