Karibu Shule ya Sekondari Maghabe
Shule ya sekondari Maghabe ni shule ya bweni iliyoko katika wilaya ya Mbeya vijijini, Mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Shule hii ilianzishwa ili kutoa elimu kwa wanafunzi wa ndani ya Tanzania na wale wanaotokea nje ya Tanzania. Shele inatoa elimu kwa kidato cha kwanza hadi cha nne na kidato cha tano hadi cha sita.

Maono Yetu
Kutoa elimu kwa wanafunzi wa kitaifa na kimataifa.

Malengo Yetu
Kuhamasisha na kutoa elimu ya sekondari, na kuhamasisha wanafunzi kuishi Maisha mazuri ya kiroho, kwa hiyo ni shule inayoendeshwa kwa misingi ya kidini.

Taarifa za Mawasiliano:
Anuani ya Posta:
Shule ya Sekondari Maghabe,
S.L.P 3785, Mbeya
Tanzania.

Namba za Simu:
+255 754 893 508 / +255 765 116 555 / +255 788 245 325 / +255 754 873 560

Barua pepe:
albinamaghabe1974@gmail.com
maghabe2020@gmail.com
 

   Maelezo ya Kujiunga Kidato cha 5
   Maelezo ya Kujiunga Kidato cha 1
   Fomu ya maombi kujiunga kidato cha 5
    Fomu ya maombi kujiunga kidato cha 1
   Mwaliko kujiunge kidato cha 5, 2022
   Mwaliko kujiunge kidato cha 1, 2022
 
Shule ya sekondari Maghabe ni shule bora kwa elimu bora na malezi bora ya wanafunzi. Tunawakaribisha wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali kujiunga na shule ya sekondari Maghabe. Tunaamini kuwa "Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa,....".
(Mithali 1:7)
"The fear of the Lord is the source of Knowledge"
"Kumcha Bwana ni Chanzo cha Maarifa"
Maghabe Sekondari
© 2022 Shule ya Sekondari Maghabe, Mbeya. Haki zote zimehifadhiwa.