Mahali Shule Ilipo

Shule ya sekondari Maghabe ipo Mkoani Mbeya, eneo la Utengule, barabara ya kwenda Chunya. Shule ipo umbali wa kilomita 05 kutoka stendi ya Mbalizi na kilomita 17 kutoka stendi kuu ya mabasi Mbeya mjini.

Shule ina mazingira mazuri kwa maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma na kimaisha kwa ujumla.
 
"The fear of the Lord is the source of Knowledge"
"Kumcha Bwana ni Chanzo cha Maarifa"
Maghabe Sekondari
© 2022 Shule ya Sekondari Maghabe, Mbeya. Haki zote zimehifadhiwa.