Kuhusu Shule ya Sekondari Maghabe

Shule ya sekondari Maghabe ilianzishwa mwaka 2006 na Ndugu Albina Maghabe. shule hii ilianzishwa ili kutoa elimu ya sekondari kwa wanafunzi wa wakazi wa Mbeya na Tanzania kwa ujumla.

Shule ya sekondari Maghabe ilianza kutoa elimu ya kidato cha tano hadi cha sita katika tahasusi ya HGK (History, Geography, na Kiswahili), HGL (History, Geography na English Language) and HKL (History, Kiswahili and English Language) mwaka 2015.

Shule hii imesajiliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa namba ya usajili S. 2403, na inaendeshwa kwa kufuata sheria, na kanuni za Tanzania.

Shule ilianza na wanafunzi 15 wa kidato cha kwanza mwaka 2006, lakini kwa sasa ina mamia ya wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne, na kidato cha tano hadi cha sita.
 
"The fear of the Lord is the source of Knowledge"
"Kumcha Bwana ni Chanzo cha Maarifa"
Maghabe Sekondari




© 2022 Shule ya Sekondari Maghabe, Mbeya. Haki zote zimehifadhiwa.